• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM waendelea kuhimiza uungaji mkono kwa Makubaliano ya nyuklia ya Iran

    (GMT+08:00) 2018-08-07 18:09:16

    Naibu msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Farhan Haq amesema, Umoja huo unaendelea kuzihimiza nchi mbalimbali ziunge mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.

    Bw. Haq amesema, Umoja huo unafuatilia athari za kibindamu kufuatia Marekani kurejesha vikwazo dhidi ya Iran, na kusisitiza umuhimu wa pande zote husika kuendelea kufuata makubaliano hayo.

    Jumatatu wiki hii, ikulu ya Marekani ilitoa taarifa ikisema nchi hiyo itarejesha vikwazo dhidi ya Iran katika sekta zisizo za nishati, zikiwemo fedha, madini na magari, kuanzia Agosti 7.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako