• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wauawa kwenye shambulizi la Israel huko Gaza

    (GMT+08:00) 2018-08-07 19:31:41

    Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas la Palestina jana waliuawa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na jeshi la Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

    Brigedi ya al-Qassam iliwatambua wapiganaji hao wawili waitwao Ahmed Murjan na Abdul Hafiz al-Selawy kutoka kambi ya wakimbizi ya Jabaliya, kaskazini mwa Gaza.

    Israel haijatoa maoni kuhusu shambulizi hilo. Lakini vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa jeshi la Israel lilishambuliwa karibu na eneo la mpaka kaskazini mwa Gaza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako