• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Uunganishaji wa kawi kati ya Kenya na Ethiopia wakaribia kukamilika

    (GMT+08:00) 2018-08-07 19:34:36

    Awamu ya kwanza ya mradi wa kunganisha umeme kati ya Kenya na Ethiopia unatarajiwa kukamilika mwaka ujao.

    Katibu wa kudumu kwenye wizara ya kawi nchini Kenya Joseph Njoroge amesema robo tatu ya uwekaji wa laini za umeme za kilomita 1,045 imekamilika upande wa Kenya na asilimia 90 upande wa Ethiopia.

    Mradi huo umefadhiliwa na benki ya maendeleo ya Afrika na ni sehemu ya miradi ya kuunganisha kanda ya Afrika Mashariki kwenye laini moja ya kawi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako