• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Serikali ya Kenya kulipa wakulima waliowasilisha mahindi NCPB

  (GMT+08:00) 2018-08-07 19:35:54

  Serikali ya Kenya imetoa shilingi bilioni 1.4 za kulipa wakulima waliowasilisha mahindi yao katika halmashauri ya nafaka nchini humo NCPB.

  Katibu wa usimamizi wa kazi za wizara ya kilimo Andrew Tuimur amesema fedha hizo zimetolewa kupitia kwa wizara uya ugatuzi nan i sehemu ya shilingi bilioni 3.5 ambazo serikali inafaa kuwalipa wakulima.

  Serikali imeanza kukagua upya wakulima kubaini wale walionunua mahindi kwa bei rahisi kutoka nchi jirani na baadaye kuuzia serikali kwa bei ya shilingi 3,200 kwa gunia la kilo 90.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako