• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Watalii wafurika Masai Mara

  (GMT+08:00) 2018-08-07 19:36:35

  Maelfu ya watalii wameanza kufurika katika hifadhi ya kitaifa ya Masai Mara nchini Kenya kushuhudia nyumbu wakivuka mto mara wakitokea kwenye hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.

  Kila mwaka zaidi ya nyumbu milioni mbili wanahama kutoka Serengeti kutafuta malisho Masai Mara.

  Mkurungezi wa hifadhi ya Masai Mara Christine Daabash, amesema wanatarajia zaidi ya watalii 100,000 msimu huu.

  Alisema ingawa uhamiaji wa wanyama hao ulichelewa lakini huenda wakasalia masai Mara kwa muda mrefu kwani kuna lishe la kutosha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako