• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Fracht Group yafungua ofisi Kigali, Rwanda

  (GMT+08:00) 2018-08-07 19:38:35

  Kampuni ya uchukuzi ya Fracht Group kutoka Uswisi imefungua ofisi yake mjini Kigali Rwanda ambayo itahudumia kanda ya Afrika Mashariki.

  Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1955 hadi sasa imeajiri zaidi ya watu 1,250 katika nchi 34.

  Akizungumza wakati wa kufunguliwa kwa ofisi ya Kigali, mkurungezi mkuu wa kampuni hiyo Ruedie Reisdorf, amesema wamevutiwa na mazingira mazuri ya kibiashara kuwekeza nchini humo

  Reisdorf amesema wameanza oparesheni nchini Burundi, Tanzania, DR Congo, Zambia na Afrika Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako