• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rwanda yalenga dola million 92 za chai 2018

  (GMT+08:00) 2018-08-07 19:43:48

  Rwanda inalenga kuongeza mauzo yake ya chai kwenye soko la nje ili kupata dola milioni 92 mwaka huu wa 2018.

  Uzalishaji wa chai nchini humo umeongezeka kutoka tani 14,500 mwaka wa 2000 hadi tani 25,128 mwaka 2017.

  Halamashauri ya kuuza bidhaa nje nchini humo imesema kwamba inatarajia mauzo ya chai kuongezeka kutoka dola milioni 88 hado dola 92.

  Mauzo ya chai ya Rwanda yaliongezeka kwa asilimia 15 mwaka wa 2017 ikilinganishwa na mauzo ya chini ya mwaka wa 2016.

  Mkuu wa halmashauri hiyo katika kitengo cha chai amesema bidhaa hiyo imekuwa ikitoa ushindani mkubwa kwenye soko la kimataifa na wanaendelea kufanya kampeni za kuimarisha zaidi chapa za chai yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako