• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi maalumu vya Somalia vyadhibiti maeneo ya al-Shabab kusini mwa nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2018-08-08 10:13:33

    Kitengo cha vikosi maalumu vya Somalia Danab kinachoungwa mkono na vikosi vya Umoja wa Afrika kimefanya shambulizi dhidi ya maeneo ya al-Shabab magharibi mwa mji wa Balad katika eneo la Middle Shabelle, kusini mwa nchi hiyo. Kamishna wa mji wa Balad Bw. Nuur Shueb amesema katika operesheni hiyo, vikosi washirika vimedhibiti vijiji vinne ambako wapiganaji wa al-Shabab wamekuwa wakifanya mashambulizi mbalimbali kwa miezi kadhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako