• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Libya yasema ni Walibya wanaweza kuamua tarehe ya kufanyika uchaguzi

    (GMT+08:00) 2018-08-08 10:16:06

    Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imesema tarehe ya kufanyika chaguzi za rais na wabunge itaamuliwa na watu wa Libya peke yao. Waziri mkuu wa serikali hiyo Bw. Serraj amesisitiza kuwa pande zote husika, haswa zile zilizosaini makubaliano ya Paris zinatakiwa kutekeleza wajibu na majukumu yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako