• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji wa China waziba pengo la miundombinu barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-08-08 16:15:18

    Uwekezaji mkubwa wa China barani Afrika umekuwa ufunguo wa kutatua tatizo la miundombinu barani humo katika kipindi cha muda mfupi na muda wa kati.

    Hayo yamesema na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sera za Nishati cha Afrika (ACEP) Benjamin Boakye. Amesema uwekezaji wa China unaunga mkono maendeleo ya Afrika katika miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo barabara, mabwawa, na reli.

    Mchumi huyo amzishauri nchi za Afrika kuchukua hatua katika kuhakikisha uwekezaji wa China unatumiwa kwa ufanisi ili kufikia malengo ya Afrika ya kupata maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako