• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Biashara ya kimataifa ya China yaongezeka kwa asilimia 8.6 katika miezi saba iliyopita

  (GMT+08:00) 2018-08-08 18:54:15

  Takwimu kutoka mamlaka ya forodha ya China zimeonyesha kuwa, thamani ya biashara ya kimataifa ya China imeongezeka kwa ailimia 8.6 na kufikia dola za kimarekani trilioni 2.45 katika miezi 7 ya mwanzo ya mwaka huu.

  Uuzaji wa bidhaa katika kipindi hicho imeongezeka wa asilimia 5, huku uagizaji bidhaa kutoka nje ukiongezeka kwa asilimia 12.9, na kuleta urari mzuri wa biashara wa dola za kimarekani bilioni 155, kiasi ambacho kimepungua kwa asilimia 30.6.

  Biashara kati ya China na Umoja wa Ulaya imeongezeka kwa asilimia 5.9, na biashara kati ya China na nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" imeongezeka kwa asilimia 11.3 kuliko mwaka jana wakati kama huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako