• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shell, BP zanuia kununua kampuni mbili za mafuta Rwanda.

  (GMT+08:00) 2018-08-08 19:30:09

  Kampuni mbili kubwa za mafuta na gesi duniani,Shell na BP Plc,ziko katika mcahakato wa kuzinunua kampuni mbili kubwa za mafuta nchini Rwanda katika mikataba miwili tofauti.

  Kampuni hizo zinatarajiwa kuingia katika soko ambalo sasa lina takriban wadau 20.

  Kampuni ya Royal Dutch Shell, kupitia kampuni yake ya Afrika Mashariki,Vivo Energy,iko katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kununua operesheni zote za kampuni ya Engen,ikiwa ni pamoja vituo vyake vya mafuta nchini Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako