• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Tamasha la Simba Day lafana, Simba na Asante Kotoko ngoma droo

  (GMT+08:00) 2018-08-09 08:48:22
  taasisi ya Mo Dewji kushirikiana na klabu ya Simba ya Dar es salaam wametoa misaada kwa kituo cha kutunza watoto wenye uhitaji na yatima jijini Dar es salaam.

  Klabu hiyo imejiwekea utaratibu huo kila Agosti 8, ikiwa ni siku maalum kwa klabu hiyo kutambulisha jezi mpya watakazotumia wachezaji kwa ajili ya msimu mpya wa ligi, kutambulisha wachezaji wapya waliowasajili na vilevile kutoa misaada kwa jamii.

  Katika mechi ya kukamilisha siku hiyo maalum, Simba imekutana na Asante Kotoko ya Ghana, timu hizo zimetoka sare ya kufungana goli 1-1.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako