• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Riadha: Kenya yaomboleza kifo cha mwanariadha Nicholas Bett

  (GMT+08:00) 2018-08-09 09:06:30
  Kenya yaomboleza kifo cha mwanariadha Nicholas Bett, bingwa wa mwaka 2015 wa mashindano ya riadha ya dunia katika mbio za mita 400 kwa upande wa wanaume.

  Bett amefariki katika ajali ya gari alipokuwa akitoka Eldoret kwenda Kapsabet kaunti ya Nandi jana alfajiri.

  Bett mwenye umri wa miaka 28 alishiriki katika mashindano ya Afrika yaliyomalizika Jumapili iliyopita mjini Assaba nchini Nigeria.

  Atakumbukwa kuwa mwanariadha wa kwanza kutoka nchini Kenya kushinda taji hilo la mbio za mita 400, kuwahi kushinda mbio fupi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako