• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Chelsea yatwaa kombe la mabingwa

  (GMT+08:00) 2018-08-09 09:07:06
  Akiidakia kwa mara ya kwanza katika mechi yake ya kwanza kuchezea Chelsea fc, Kipa Rob Green ameiwezesha timu yake hiyo ya Chelsea kutwaa kombe la mabingwa wa kimataifa jana katika uwanja wa Stamford Bridge ilipokutana na Lyon.

  Katika mchezo huo hadi dakika 90 zinamalizika, timu hizo hazikuwa zimefungana na kulazimika kwenda dakika 30 za nyongeza, na kukamilika huku hakuna timu iliyoona lango la mwenzake, ukawadia wakati wa matuta na ndipo Chelsea kufanikiwa kufunga penalti 5, na Lyon penalti 4.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako