• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tenisi: Serena Williams ajiondoa katika mashindano ya Roger Cup

  (GMT+08:00) 2018-08-09 09:13:42

  Mchezaji tenisi kutoka Marekani Serena Williams amesema amejiondoa katika mashindano ya Roger Cup nchini Canada baada ya kujitafakari na kuona kuwa, akienda kushiriki hatakuwa mama mzuri kwa mtoto wake.

  Bingwa huyo wa mataji makubwa 23 amesema hatashiriki kwa sababu za kibinafsi.

  Serena mwenye umri wa miaka 36, alijifungua mwaka jana na amekuwa akirejea katika mchezo huu na mwezi Julai alifika katika fainali ya kuwania taji la Wimbledon nchini Uingereza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako