• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu kutoka Sudan, Libya, Niger na Chad wajadili usalama wa mpakani

    (GMT+08:00) 2018-08-09 09:22:35

    Wataalamu kutoka Sudan, Libya, Niger na Chad wamefanya mkutano mjini Khartoum kujadili usalama wa mpakani na kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka ya nchina usafirishaji haramu wa binadamu.

    Mkutano huo unalenga kufikia ajenda ya maafikiano kwa ajili ya mkutano wa tatu wa ngazi ya mawaziri wa nchi hizo nne, ambao unaanza leo mjini Khartoum na kuhudhuriwa na mawaziri wa mambo ya nje, ulinzi na mambo ya ndani, na wakuu wa usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako