• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Saudi Arabia yakataa kusuluhisha mgogoro wa kisiasa na Canada

    (GMT+08:00) 2018-08-09 09:23:06

    Waziri wa mambo ya nje wa Adel al-Jubeir amesema hakuna nafasi ya usuluhishi katika kutatua mgogoro wa kidiplomasia na Canada, na kwamba Canada inajua kitu inachohitaji kufanya ili "kusahihisha kosa hili kubwa". Saudi Arabia ilimtaka balozi wa Canada aondoke nchi hiyo na kumwita nyumbani balozi wake kutoka Canada. Pia imesimamisha makubaliano yote mapya ya biashara na uwekezaji na Canada.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako