• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Riadha: Vilabu kumi na Tano kushiriki kwenye mashindano ya kutafuta klabu Bingwa ya Riadha Zanzibar

  (GMT+08:00) 2018-08-10 08:19:41
  Jumla ya vilabu kumi na tano vinatarajia kushiriki kwenye mashindano ya kutafuta klabu Bingwa wa Riadha Zanzibar mwaka 2018/2019. itakayofanyika mwezi wa Septemba mwaka huu kwenye uwanja wa Aman Mjini Unguja. Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa chama cha riadha Zanzibar Suleman Nyambui amesema chama cha riadha kwenye kalenda ya mwaka mzima wanatarajia kuwa na mashindano hayo kwa wanawake na wanaume kwa timu zote za Unguja na Pemba. Mashindano ya riadha kutafuta klabu bingwa Zanzibar yanatarajia kuanza Septemba mosi hadi pili ili kutafuta bingwa wa Zanzibar kuwakilisha kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na kati.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako