• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yatoa mwito wa kuchukuliwa hatua wakati matumizi ya mabavu dhidi ya watoto yanafikia kiwango cha tahadhari

    (GMT+08:00) 2018-08-10 09:33:40

    Serikali ya Uganda imetoa ripoti ikisema matumizi ya mabavu dhidi ya watoto nchini humo yamefikia kiwango cha tahadhari, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa tatu kwa nne ya watu wazima walitendewa kimabavu kwa aina moja ama nyingine utotoni mwao.

    Waziri wa jinsia, kazi na maendeleo ya jamii wa Uganda Bibi Janat Mukwaya amesema utafiti huo umetoa ushahidi muhimu utakaosaidia serikali kutunga sera na kufanya maamuzi ili kuzuia na kukabiliana na matumizi ya mabavu dhidi ya watoto nchini humo katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako