• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi atoa mwito kwa pande zote kushiriki kwenye mazungumzo

    (GMT+08:00) 2018-08-10 09:34:02

    Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi Bw Michel Kafando amelitaka Baraza la Usalama kuzihamasisha pande zote za Burundi kushiriki kwenye mazungumzo ya ndani ya Warundi.

    Juni 7, Rais Pierre Nkurunziza alipotangaza katiba mpya, alisema hatatafuta muhula mwingine wa kukaa madarakani wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020. Akizungumzia umuhimu wa katiba mpya na taarifa iliyotolewa na rais huyo, Bw. Kafando amesema maendeleo hayo yameweka fursa ya kuelekea kupata suluhu ya msukosuko wa kisiasa ulioanza mwaka 2015..

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako