• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Russia inafikiria kujibu vikwazo vipya vitakavyotolewa na Marekani

  (GMT+08:00) 2018-08-10 09:34:28

  Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Bibi Maria Zakharova amesema Russia itafikiria hatua za kujibu vikwazo vipya vitakavyotolewa na Marekani.

  Bibi Zakharova amesema Marekani kuweka vikwazo dhidi ya Russia kwa kisingizio cha matumizi ya silaha za kikemikali hakuna msingi, na pia ni kitendo cha uzandiki wakati serikali yake inasema itafanya juhudi kuboresha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako