• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtalii kutoka Taiwan, China auawa na faru nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-08-13 09:13:30

    Mtalii moja kutoka mkoa wa Taiwan, China amefariki dunia na mwingine amejeruhiwa baada ya kushambuliwa na faru kwenye pwani ya Ziwa Naivasha, kaskazini magharibi mwa Nairobi. Ubalozi wa China nchini Kenya umethibitisha habari hiyo na kusema watalii hao walishambuliwa na faru wakati walipokuwa wanapiga picha kwenye eneo la utalii la Sopa. Ubalozi huo umetuma maofisa kwenye eneo la tukio na kutaka mamlaka za Kenya kuimarisha hatua za usalama kwenye maeneo ya utalii ili kuepuka matukio kama hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako