• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taekwondo Duniani: Zanzibar yathibitishwa rasmi kuwa Kituo kamili

    (GMT+08:00) 2018-08-13 10:10:21

    Chama cha mchezo wa Taekwondo Zanzibar kimeanza kutambuliwa rasmi na shirikisho la mchezo wa Taekwondo Duniani (ITF) na kimepewa ithibati ya katoa mafunzo maalum ya Taekwon-Do visiwani Zanzibar.

    Hii imetokana na juhudi za muda mrefu za wachezaji wa sanaa hiyo ya mapigano na kujilinda, ambazo hatimaye zimepelekea baadhi yao kufuzu nafasi ya ukufunzi, akiwemo Hemed Rashid Salami ambaye amekabidhiwa cheti maalum na mkanda mweusi.

    Hemed ambaye pia ni msemaji wa Taekwondo Zanzibar alitunukiwa cheti cha utambuzi huo na mkufunzi kutoka ITF Nicolous Nender wa Sweden ambaye alikuwepo Zanzibar kwa ajili ya program hiyo maalum.

    Awali kabla ya chama cha Taekwondo kutambuliwa Zanzibar ilikuwa inafanya kazi za Taekwondo zilikuwa zinafanyika chini ya mwamvuli wa chama cha Karate Zanzibar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako