• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, ligi kuu Uingereza: Arsenal yaanza vibaya msimu

    (GMT+08:00) 2018-08-13 10:11:50

    Ikiwa uwanja wa nyumbani timu ya Arsenal jana imekumbana na changamoto ya kufungwa magoli 2-0 kwenye mechi yake ya kwanza ya ligi kuu nchini Uingereza ilipokutana na mabingwa watetezi wa ligi hiyo Man City.

    Magoli ya Man City yalifungwa na Raheem Sterling pamoja na Bernado Silva.

    Kwingineko, Liverpool ilipata ushindi wa 4-0 ilipocheza dhidi ya Westham United, kwa magoli yaliyofungwa na Mohamed Salah, Sadio Mane aliyefunga mawili pamoja na Daniel Sturridge.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako