• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya usalama vya Somalia vyamwua mpiganaji wa al-Shabaab mjini Mogadishu

    (GMT+08:00) 2018-08-13 10:18:17

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimemwua na kumnyang'anya silaha mpiganaji mmoja wa al-Shabaab, aliyemuua raia katika soko kubwa la Suk-ba'ad, mjini Mogadishu. Kundi hilo la kigaidi lenye uhusiano na al-Qaida halijatoa kauli kuhusu kuuawa kwa mpiganaji wake na vikosi vya serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako