• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Serikali kutoza kodi kwa uagizaji wa mitungi ya gesi.

    (GMT+08:00) 2018-08-13 20:30:35

    Serikali imeanza kutoza kodi uagizaji wa mitungi ya gesi.

    Kupitia hatua hiyo bei ya gesi ya kupikia bei yake inatarajiwa kupanda juu.

    Hii inakuja karibu miezi miwili baada ya waziri wa fedha, Henry Rotich, kuweka kodi kwa mafuta ya taa na mafuta ya petrol.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako