• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: serikali ya lenga asilimia 50 ya umeme

    (GMT+08:00) 2018-08-13 20:31:10

    Serikali ya Rwanda imesema kuwa upatikanaji wa umeme utafikia asilimia 51 mwishoni mwa mwaka huu wa fedha, kutoka asilimia ya sasa ya 45.

    Viongozi kutoka Wizara ya Miundombinu walitangaza maendeleo huko Kigali wakati wa kusaini mikataba ya utendaji na mashirika yake.

    Mikataba inafikia miradi katika nishati, maji na usafi wa mazingira, usafiri, mijini na makazi ya watu.

    Hii ina maana kwamba mwishoni mwa mwaka wa fedha wa 2018/19, nyumba 203,758 zitakuwa zimeunganishwa na umeme, ongezeko la asillimia 34.5 kutoka mwaka uliopita wa fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako