• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar inaslenga kuvutia watalii kutoka mashariki mwa Asia

    (GMT+08:00) 2018-08-13 20:31:31

    Rais wa Zanzibar Ali Mohammed Shein amesema serikali yake inalenga kuvutia watalii 500,000 kila mwaka ifikapo mwaka 2020 kutoka Indonesia na nchi zengine za mashariki mwa Asia.

    Kwa idadi ya watu milioni moja, uchumi wa Zanzibar hutegemea hasa utalii na biashara ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako