• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Mikono, Afrika: Nigeria ndiyo mabingwa kwa vijana chini ya miaka 20

    (GMT+08:00) 2018-08-14 10:34:27

    Timu ya taifa ya Nigeria ndiyo mabingwa wa Afrika wa mchezo wa mpira wa mikono kwa vijana chini ya Umri wa miaka 20 baada ya kushinda katika mechi ya fainali walipowafunga mabingwa watetezi DRC kwa alama 27-26 kwenye mashindano yaliyomalizika nchini Rwanda.

    Nayo timu ya Senegal ilifanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada ya kuwashinda wenyeji Rwanda kwa alama 39-37 kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu.

    Kwa kutwaa ubingwa huo, Nigeria sasa wamefuzu mashindano ya dunia yatakayofanyika baadaye mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako