• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi, Wanawake: Bondia Katie Taylor kutetea taji la WBA

    (GMT+08:00) 2018-08-14 10:35:08

    Bondia Katie Taylor wa Ireland anatarajiwa kutetea taji lake la ubingwa wa IFB na WBA katika uzani wa mwepesi kwa upande wa wanawake atakapokutana na Cindy Serrano, pambano litakalofanyika mjini Boston nchini Marekani, Oktoba 20 mwaka huu.

    Awali pambano hilo lilipangwa kufanyika mjini Chicago Oktoba 6, lakini limehamishiwa Boston kwa kuwa siku hiyo litapigwa pambano lingine la ubingwa wa dunia kati ya Billy Joe Saunders atakayetetea ubingwa wake wa WBO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako