• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Hispania: Barcelona yashinda ubingwa wa Super-Cup

    (GMT+08:00) 2018-08-14 10:35:48

    KLABU ya Barcelona imefanikiwa kutwaa Kombe la Spanish Super Cup baada ya kuichapa Sevilla kwa bao 2 – 1 mchezo uliyopigwa Tangier nchini Morocco.

    Ikiwa ni mechi yake ya kwanza tangu akabidhiwe unahodha wa Barcelona kutoka kwa Andres Iniesta, Lionel Messi ameweka rekodi yake ya kutwaa mataji mengi zaidi ndani ya timu hiyo kuliko mchezaji yeyote mara baada ya kufikisha idadi ya makombe 33.

    Katika mechi hiyo Sevill walitangulia kupata goli mapema kupitia kwa Pablo Sarabia kisha Barça kusawazisha kupitia kwa Gerard Pique kabla ya Ousmane Dembele kuipatia timu hiyo ushindi kwa goli lake la dakika za mwisho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako