• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Faida ya Barclays yakua kwa asilimia 6.2 kwa miezi 6

    (GMT+08:00) 2018-08-14 20:00:06

    Benki ya Barclays Kenya imetangaza kwamba faida yake ya miezi sita imekua kwa asilimia 6.2 na kufikia shilingi bilioni 3.76.

    Imesema ongezeko la faida limechangiwa na kukopesha serikali na kupunguza garama za oparesheni.

    Ukopeshaji kwa mashirika ya serikali ulikua hadi shilingi bilioni 70.

    Lakini mapato kutoka kwa riba za mikopo kwa watu binafsi yalisalia kuwa bilioni 10 licha ya kwamba wateja waliongezeka kwa asilimia 7.9.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako