• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Faida ya Bralirwa ya nusu mwaka yafikia franc bilioni 2.1

    (GMT+08:00) 2018-08-14 20:01:16

    Kampuni kubwa ya pombe nchini Rwanda, Bralirwa imetangaza faida ya franc bilioni 2.1 katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2018.

    Faida hizo ni ongezeko la asilimia 9.7 ikilinganishwa na mapato ya nusu ya kwanza ya 2017,.

    Hata hivyo kampuni hiyo imelalamikia changamoto kama vile kupanda kwa gharama za oparesheni.

    Mkurungezi wa kampuni hiyo Victor Madiela, amesema soko la ndani uya nchi limeendelea kuwa na ushindani mkubwa na hivyo wanajitahidi kuwekeza kwa njia mpya ili kusalia kwenye nafasi ya juu.

    Alisema uagizaji pia unazidi kuwa maarufu katika soko la ndani huku wateja wakipandosha mahitaji yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako