• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za Magari, Kenya: Dereva Tundo ashindwa katika mashindano ya Mombasa

    (GMT+08:00) 2018-08-15 11:13:34

    Dereva hodari Carl 'Falsh' Tundo ameonyeshwa kivumbi katika duru ya sita ya Mbio za Magari za Kenya (KNRC), iliyofanyika Mombasa (Mombasa Rally).

    Tundo, ambaye aliingia katika duru hii akiwa na motisha kubwa kutokana na ushindi wake katika duru tatu zilizopita za Safari Rally mwezi Machi, Athi River Rally mwezi Juni na Machakos Rally mwezi Julai, amemaliza katika nafasi ya tatu.

    Katika duru hiyo Baldev Chager alishinda nafasi ya kwanza, na nafasi ya pili ikitwaliwa na Onkar Rai, ambaye alishinda duru ya ufunguzi mjini Nakuru mwezi Februari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako