• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya unga Kenya yapungua kutokana na wingi wa mahindi

    (GMT+08:00) 2018-08-16 20:12:54

    Bei ya unga wa mahindi nchini Kenya imepungua kwa kiwango cha chini zaidi ndani ya miaka 6 kufuatia kuongezeka kwa mahindi ya bei rahisi kutoka Uganda na magharibi mwa Kenya.

    Mfuko mmoja ya kilo mbili inauzwa kwa shilingi 86 sawa na bei ya mwaka 2012.

    Mahindi kutoka Uganda yamechangia kupungua kwa bei huku gunia moja la kilo 90 likiuzwa kwa chini ya shilingi 2,000 ikilinganishwa na shilingi 3,200 za mwezi Januari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako