• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Afrika yatangaza ukuaji wa asilimia 74 kwenye faida yake

    (GMT+08:00) 2018-08-16 20:13:20
    Benki ya Afrika imetangaza ukuaji wa asilimia 74 kwenye faida yake baada ya ushuru ikifia dola milioni 547,000.

    Hiyo ni faida ya kipindi cha miezi sita ya mwaka 2018 kilichokamilika Juni 2018.

    Mwaka jana benki hiyo ilifunga matawi yake 12 na kufuta baadhi ya wafanyakazi ili kupunguza gharama.

    Kufuatia hatua hiyo benki hiyo ilipunguza kwa asilimia 22 gharama zake za oparesheni.

    Sasa imesalia na matawi 30 17 katika mji mkuu Nairobi na mengine katika maneo mbalimbali nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako