• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia yalenga ushuru wa dola milioni 22 kutoka huduma za simu kwa kutumia intaneti.

    (GMT+08:00) 2018-08-16 20:14:04
    Serikali ya Zambia inalenga kupata dola milioni 22 za ushuru mpya kutoka kwa huduma za kupiga simu kwa kutumia intaneti.

    Baraza la mawaziri ncini humo limeidhinisha ushuru wa dola $0.03 kila siku kwa huduma za kupiga simu za intaneti.

    Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Brian Mushimba amesema serikali imetambua kuwa inapoteza ushuru mkubwa kupitia kwa huduma hizo.

    Zambiaina kampuni tatu za huduma zamawasiliano ambazo ni Zamtel, Bharti Airtel na MTN.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako