• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: "Ni vigumu kufanya vizuri dhidi ya Ndovu wa Ivory Coast"-Niyonzima

    (GMT+08:00) 2018-08-17 09:51:00
    Nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda (Amavubi) Haruna Niyonzima amesema ni vigumu kushinda timu ya Ndovu ya Ivory Coast katika mechi ya kutafuta tiketi ya kushiriki kombe la klabu bingwa Afrika mwakani.

    Ndovu ya Ivory Coast na Amavubi wanatarajiwa kushuka dimbani Septemba 7 uwanja wa Amahoro nchini Rwanda katika mechi ya kusaka tiketi ya kucheza michuano ya kombe la Afrika mwakani yatakayofanyika nchini Cameroon.

    Niyonzima amesema, ni vigumu kwasababu umepita muda mrefu bila Amavubi kucheza mechi yeyote ya kujipima nguvu. Ameaomba viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu Rwanda (FERWAFA) kuandaa mechi za kirafiki kwani zinawasaidia wachezaji kuelewana, na kocha kujua timu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako