• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wachezaji watatu wa Ulaya wagombea nafasi ya mchezaji bora

  (GMT+08:00) 2018-08-21 10:49:12

  Chama cha soka Ulaya UEFA kimetangaza TOP 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya UEFA kwa msimu wa 2017/2018, UEFA imetangaza list hiyo ambayo Lionel Messi hayumo. Wachezaji waliotajwa kuingia TOP 3 ya m hezaji bora wa UEFA ni Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa anaichezea Juventus, Mohamed Salah wa Liverpool na Luka Modric wa Real Madrid. Kigezo kikubwa kilichofanya Luka Modric, Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah wa Liverpool kuingia katika Top 3 ni kutokana na uwezo wao waliouonesha msimu wa 2017/2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako