• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania na Uganda kujenga bomba la gesi asilia

    (GMT+08:00) 2018-08-27 20:04:01

    Tanzania na Uganda zimesaini makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi asilia.

    Waziri wa maswala ya kigeni wa Tanzania Augustine Mahiga amesaini mradi huo pamoja na mwezake wa kawi wa Uganda Irene Muloni.

    Makubaliano hayo yanasainiwa miezi 15 baada ya Dar es Salaam na Kampala kukubaliana Mei 2017 kujenga bomba la mafuta kati ya Hoima nchini Uganda, na Tanga Tanzania.

    Huu ndio utakuwa mradi wa kwanza wa bomba la gesi kati ya nchi mbili katika kanda ya Afrika Mashariki tangu gesi kukugudilwa katika kisiwa cha Songosongo nchini Tanzania mwaka wa 2004.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako