• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kiwanda kuanza kutengengeza dawa za saratani Uganda

    (GMT+08:00) 2018-08-27 20:04:36

    Kampuni moja ya kutengeneza madawa nchini Uganda Rene Industries, imeanza mipango ya kujenga kiwanda kuzalisha dawa za kukabiliana na saratani.

    Mkurungezi wa kampuni hiyo Khushboo Vadodaria amesema mpango huo utagharimu kati ya dola milioni 8 na 10.

    Amesema tayari wamenunua sehemu ya ardhi katika eneo la Kireka mjini Kampala kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda hicho.

    Aidha amesema sasa wanafanya utafiti wakishirikiana na taasisi ya saratani ya Uganda.

    Vadodaria, amesema mradi huo utafungua fursa hasa za kuuza mali ghafi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako