• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya imesaini mkatabana marekani wa dola milioni 237.

    (GMT+08:00) 2018-08-28 20:19:01

    Kenya imesaini mkataba na kampuni ya Marekani, kuruhusu dola milioni 237 ya uwekezaji katika nishati ya upepo na usalama wa chakula.

    Rais Uhuru Kenyatta siku ya Jumatatu alishauri serikali ya Marekani kuwezesha uendeshaji wa biashara za Marekani nchini Afrika.

    Mtambo huo wa umeme utatoa umeme wa kuaminika zaidi kwenye gridi ya taifa na kusaidia mpango wa Marekani wa umeme Afrika kutimia ili kusaidia upatikanaji wa umeme.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako