• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda ilipata dola milioni 438 kutoka kwa utalii

    (GMT+08:00) 2018-08-28 20:19:39

    Sekta ya utalii nchini Rwanda ilipata dola milioni 438 kwa mapato ya mwaka 2017 kutoka dola milioni 404 mwaka uliopita, Ripoti ya Bodi ya Maendeleo ya mwaka Rwanda inaonyesha.

    Ripoti ya kila mwaka ya RDB pia ilionyesha kuwa kivutio cha utalii wa Rwanda kilifikia zaidi ya watu milioni 173.

    Utalii unatarajiwa kudumisha maendeleo yake ya ukuaji wa mwaka 2018 ili kuboresha usalama, uwekezaji katika miundombinu ya ukarimu miongoni mwa zengine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako