• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sheria mpya ya ushuru imeongeza kodi nchini Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-08-28 20:20:16

    Serikali ya Rwanda imeanza kufurahia faida za sheria mpya ya kodi ya mapato.

    Hata hivyo, baadhi ya wafanyabiashara wanasema imeathiri mapato yao.

    Sheria, ambayo ilianza kutumika Aprili 16, imeongeza ushuru wa kodi ya serikali na inatoa ahadi bora ya mapato ili kufadhili bajeti ya nchi.

    Katika mwaka huu wa fedha, mkusanyaji kodi anahitajika kukusanya franc bilioni 1,351.7 ($ 1.5 bilioni) katika mapato ya kodi ya ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako