Mkutano wa kilele wa Beijing wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika utafanyika mjini Beijing. Maua zaidi ya milioni 10 yatawekwa katika barabara ya Chang'an, njia ya kasi ya kwenda uwanja wa ndege na uwanja wa Tian'anmen ili kukaribisha mkutano huo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |