• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la China lasukuma mbele maendeleo ya uhusiano wa kijeshi kati ya China na Afrika katika zama mpya

    (GMT+08:00) 2018-08-30 20:24:01

    Mkutano wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika hivi karibuni. Msemaji wa Wizara ya ulinzi ya China Bw. Wu Qian amesema, majeshi ya China na nchi za Afrika yana uhusiano mzuri wa kirafiki. Amesema China itaendelea kuisaidia Afrika kuimarisha ujenzi wa uwezo wa kujilinda, na kusukuma mbele maendeleo ya uhusiano wa kijeshi kati ya pande hizo mbili katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako