Bw. Xie amesema, asilimia 80 ya mikopo ya benki hiyo barani Afrika ni kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, ambao utaboresha mazingira ya uwekazaji wa nchi hizo, kuzisaidia kuongeza uwezo wa uzalishaji na kuongeza nguvu ya maendeleo ya uchumi.
Habari zinasema, hadi kufikia mwezi wa Juni mwaka huu, mambo ya Afrika ya benki hiyo yamehusisha sekta za uchukuzi, umeme, utengenezaji bidhaa, habari, elimu, afya katika nchi 45 za Afrika.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |