• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kuhutubia ufunguzi wa mkutano wa kilele wa FOCAC

    (GMT+08:00) 2018-09-03 07:32:25

    Rais Xi Jinping wa China atahutubia ufunguzi wa mkutano wa kilele wa Beijing wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, katika jumba la mikutano ya umma leo jioni hapa Beijing.

    Kituo Kikuu cha Televisheni cha China CCTV, Radio ya Taifa ya China CNR na Radio China kimataifa CRI vitarusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako