• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisi ya Umoja wa Afrika mjini Beijing kuzinduliwa rasmi

    (GMT+08:00) 2018-09-03 09:04:55

    Umoja wa Afrika umesema utazindua rasmi ofisi yake mjini Beijing, ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC unaofanyika hapa Beijing.

    Uzinduzi rasmi wa ofisi hiyo utashuhudiwa na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat, ambaye yuko hapa Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa FOCAC.

    Kutokana na taarifa iliyotolewa jana na Umoja wa Afrika, licha ya kuzindua ofisi ya Umoja huo mjini Beijing, Bw. Faki pia atashuhudia kusainiwa kwa makubaliano ili kuimarisha ushirikiano kuhusu Ajenda 2063 na pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako